[00:00.000] 作曲 : Sharif Saidi Juma[00:01.458]Nakupenda - Jay Melody[00:03.183]JINIX66[00:11.542]Iwe giza baridi na upepo[00:14.312]Iwe kuna mawingu na minyesho[00:17.525]Your body baby joto joto[00:22.672]Unafanya nijihisi special[00:25.389]Unanipa sababu ya uwepo[00:28.484]Kando yako we mtoto[00:32.123]My desire[00:34.562]we nipe dawa[00:37.394]mi mahutui[00:39.159]Sijielewi ooh my God[00:43.024]Shida ni nimekolea penzini[00:48.266]Shida ni baby uko moyoni wewe[00:53.539]Nakupenda we[00:56.264]Nakutaka we[00:59.036]Kwako sijiwezi[01:01.764]Ooh my love[01:04.840]Mpenzi we[01:07.312]Roho yangu we[01:10.041]Kwako sijiwezi[01:12.765]Ooh my love[01:39.588]Akili mwili baby[01:42.514]Hasira zangu navituliza[01:45.352]Ukiongea nasikiliza[01:48.075]Yote sababu ya upendo[01:50.486]Pili pili baby[01:53.528]Vindimu chumvi ya kunynyiza[01:56.136]Yani uroda kupitiliza[01:58.901]Nimeumaliza mwendo[02:02.131]Kiukweli[02:04.882]napendwa[02:07.637]nachanganywa[02:09.276]Na haya ma raha[02:10.769]Shida ni nimekolea penzini[02:16.148]Shida ni baby uko moyoni wewe[02:21.287]Nakupenda we anhaaa[02:24.201]Nakutaka we oh nana nana[02:26.864]Kwako sijiwezi[02:29.178]Ooh my love ooh my baby[02:32.828]Mpenzi we oh nonono[02:35.331]Roho yangu we aaaah yayaya[02:37.860]Kwako sijiwezi[02:40.604]Ooh my love[02:43.896]Oh nana